Instagram Logo

cloudstv

Clouds TV πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Clouds TV Official Instagram Account.
Follow us;
Twitter @cloudsmedialive
Facebook @cloudsfmradio
Tunakufungulia Dunia Kuwa Unachotaka

90.9K
posts
88
followers
6.1M
following

Clouds Media Group inamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikisha hafla ya kwanza ya utoaji wa Tuzo za Malkia wa Nguvu 2026 jijini Dodoma.

Tunatoa shukrani za dhati kwa Serikali ya Tanzania kupitia Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, washirika wa kibiashara, washindi pamoja na wananchi wote kwa ushirikiano wao mkubwa.

Kupitia jukwaa la Malkia wa Nguvu, Clouds Media Group itaendelea kuunga mkono juhudi za kuwawezesha wanawake nchini katika nyanja mbalimbali, kupanua wigo wa fikra na kuchochea mchango wao katika kukuza uchumi wa Taifa.

Dhamira yetu ni kuendelea kuthamini na kutambua wanawake wenye jitihada za kipekee katika biashara, ajira na jamii, wanaochangia mabadiliko chanya na maendeleo endelevu katika Taifa letu.

Jukwaa hili litaendelea kufika katika kanda zote nchini ili kuhakikisha wanawake wapambanaji wanatambuliwa, wanathaminiwa na kujengewa uwezo wa kuinuka zaidi kiuchumi na kijamii.

Kupitia fursa hii, wanawake watapata maarifa, msukumo na nafasi ya kujijenga katika fikra chanya kwa lengo la kufikia mafanikio makubwa zaidi.

MALKIA WA NGUVU 2026:
KOLEZA LEVELS.

276
31
3 weeks ago

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Clouds Media Group madam Sheba Kusaga leo rasmi amebariki uzinduzi wa jukwaa kubwa ndani ya Clouds Media Malkia wa Nguvu ambalo huanza mwezi March kila mwaka.

β€œKatika msimu huu tunapoelekea kwenye uzinduzi wa Malkia wa Nguvu, Ofa zitakuwa nyingi na naamini kila tutakapoenda katika msimu huu Clouds itaendelea kuwa na mchango wa kuwezesha wanawake kutambulika, kutumia platform zetu katika kupeleka bidhaa zao duniani na ninaamini mwaka huu tutakuwa na mambo mengi sana”

Malkia wa nguvu mwaka huu tunasheherekea miaka 10 ya kuleta mabadiliko na kumuinua mwanamke katika nyanja mbalimbali aweze ku-nyoosha.

1.8K
59
2 months ago

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Timoth Geofrey Anyosisye, amesema amefurahishwa na waziri wa ujenzi Abdallah Ulega alivyoanisha maombi ya kujengewa flyover Mwenge na Morocco pamoja na maombi ya kuongezewa upana wa barabara ya Mwai Kibaki nayo yamekubaliwa.

Timoth, amesema changamoto ya Jiji la Dar es Salaam ni miundombinu ya barabara pamoja na foleni za barabarani hivyo amekuwa akiomba kujengewa barabara, madaraja pamoja na flyover hivyo kwa usikivu wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan baadhi ya maombi cake yameaanza kulipa.

Ameongeza kuwa wana Kawe waliomba kujengewa flyover kwenye makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na barabara ya Kinondoni lakini pia waliomba kujengewa flyover kwenye makutano ya barabara eneo la Morocco na pia waliomba kujengewa flyover kwenye makutano ya barabara ya Rainbow β€œLeo nimefurahi kumsikia waziri kuwa maombi yetu ya kujengewa flyover eneo la Morocco yamekubaliwa.” Ameyasema hayo Mbunge wa Jimbo la Kawe, Timoth Geofrey Anyosisye, akiwa anachangia hotuba ya bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Bungeni Jijini Dodoma.

Endelea kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii @cloudsfmtz @cloudstv pamoja na akaunti yetu ya Youtube β€œClouds Media”.

#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates

40
9
1 hours ago

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amesema wananchi wa mkoa wa Lindi, Mtwara pamoja na mikoa ya Kusini ambao wanaotumia barabara ya Dar es salaam, Kibiti, Lindi na Mtwara wamemtuma kuja kufuatlia na kuangalia bajeti ya wizara ya ujenzi β€œWameniagiza nispoona fedha zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara hii nisiunge mono bajeti hii niipinge.”

Ameongeza kuwa barabara hiyo inayounganisha mikoa ni mbovu kuliko barabara yoyote katika nchi na muda wake wa kutumika ulishaisha na imezibwa zibwa mpaka haiwezekani kuzibwa tena, lakini ndiko kwenye mchango wa uchumi wa pato la taifa kupitia zao la korosho β€œMimi nikiunga mkono bajeti hii nitakuwa nawasaliti wananchi wa kusini, nitakuwa nasaliti ilani ya uchaguzi wa chama changu kwa hiyo natanga wazi kabisa siungi mono bajeti hii mpaka fedha itengwe kwenye hii barabara.” Ameyesema hayo leo Mei 20.2026 Bungeni Jijini Dodoma alipokuwa anachangia bajeti ya wizara ya ya ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/27.

Endelea kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii @cloudsfmtz @cloudstv pamoja na akaunti yetu ya Youtube β€œClouds Media”.

#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates

30
3
1 hours ago

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Kuwait nchini Tanzania, Salem Yousif Alhamdan, katika kikao kifupi kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.

Katika kikao hicho, viongozi hao walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano wa kidiplomasia na kuahidi kuendelea kuimarisha uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na Kuwait kwa manufaa ya pande zote mbili, hususan katika sekta za uchumi, zikiwemo biashara, uwekezaji, miundombinu, afya, kilimo na maji.

Mhe. Kombo amempongeza Mheshimiwa Alhamdan kwa uteuzi wake na amemuhakikishia ushirikiano wakati wote atakapokuwa anahudumu hapa nchini.

Naye Mhe. Alhamdan, ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano uliopo na kuahidi kuendeleza ushirikiano huo kupitia maeneo ya kipaumbele kwa manufaa ya wananchi wa pande zote.

#CloudsDigitalUpdates

19
2

"Hauwezi ukawa bingwa wa matusi na ukabaki salama"- Patrobas Katambi (@patrobasskatambi_) , Waziri wa Mambo ya Ndani.

#SentroYaCloudstv

265
76
1 hours ago

Ayoub Mohammed Mahmoud (@ayoubmahmoud_), Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amewasisitizia vijana kulinda amani na utulivu wa nchi.

#SentroYaCloudstv

28
10
2 hours ago

Kesho asubuhi tunazindua rasmi Mgahawa wa Power Breakfast Γ— Clouds 360,

Umealikwa..??

22
1

29
3
2 hours ago

David George, kutoka Mwanza akitoa ushauri kwa vijana kuhusu kulinda amani

#SentroYaCloudstv

23
3
2 hours ago

Ajira zaidi ya 1,500 za moja kwa moja pamoja na takribani ajira 17,000 zisizo za moja kwa moja zimeendelea kuzalishwa kupitia uwekezaji wa kiwanda cha SBC Tanzania, huku kampuni hiyo ikichangia takribani Shilingi bilioni 150 kupitia kodi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesema Serikali itaendelea kujizatiti kuhakikisha uwepo wa mazingira wezeshi kwa wawekezaji kupitia maboresho ya sera, maendeleo ya miundombinu pamoja na ushirikiano endelevu na sekta binafsi kwa lengo la kuongeza uwekezaji, ajira na ukuaji wa uchumi.

Akizungumza Mei 20, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa kiwanda cha kutengeneza vinywaji baridi cha SBC Tanzania, Waziri Kapinga amesema uwekezaji huo unaendana na dira ya Serikali ya kujenga uchumi wenye ushindani, unaozalisha ajira, kuongeza thamani ya bidhaa na kuchochea ukuaji endelevu wa uchumi.

#CloudsDigitalUpdates

3
3
2 hours ago

μŠ€ν† λ¦¬ μ„Έμ΄λΈŒ - μŠ€ν† λ¦¬, 릴슀, 사진, λΉ„λ””μ˜€, ν•˜μ΄λΌμ΄νŠΈ, IGTVλ₯Ό ν•Έλ“œν°μ— μ €μž₯ν•  수 μžˆλŠ” 졜고의 무료 도ꡬ.

μŠ€ν† λ¦¬-μ„Έμ΄λΈŒ.com은 μ‚¬μš©μžλ“€μ΄ μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨μ—μ„œ μŠ€ν† λ¦¬, 사진, λΉ„λ””μ˜€, IGTV 등을 직접 λ‹€μš΄λ‘œλ“œν•˜κ³  μ €μž₯ν•  수 있게 λ„μ™€μ£ΌλŠ” 직관적인 온라인 λ„κ΅¬μž…λ‹ˆλ‹€. Story-Saveλ₯Ό μ‚¬μš©ν•˜λ©΄ μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨μ—μ„œ λ‹€μ–‘ν•œ μ½˜ν…μΈ λ₯Ό μ‰½κ²Œ λ‹€μš΄λ‘œλ“œν•˜κ³  인터넷 없이도 νŽΈλ¦¬ν•˜κ²Œ λ³Ό 수 μžˆμŠ΅λ‹ˆλ‹€. μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨μ—μ„œ ν₯미둜운 λ‚΄μš©μ„ λ°œκ²¬ν•˜κ³  λ‚˜μ€‘μ— 보기 μœ„ν•΄ μ €μž₯ν•˜κ³  싢을 λ•Œ 이 도ꡬ가 μ™„λ²½ν•©λ‹ˆλ‹€. Story-Saveλ₯Ό μ‚¬μš©ν•˜μ—¬ μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨μ˜ μ†Œμ€‘ν•œ μˆœκ°„μ„ λ†“μΉ˜μ§€ λ§ˆμ„Έμš”!

우리의 μž₯점:

νšŒμ›κ°€μž… λΆˆν•„μš”

μ•± λ‹€μš΄λ‘œλ“œ 및 κ°€μž… 없이, μ›Ήμ—μ„œ μŠ€ν† λ¦¬λ₯Ό μ €μž₯ν•˜μ„Έμš”.

독점적인 κ³ ν™”μ§ˆ

μ €ν™”μ§ˆ μ½˜ν…μΈ λŠ” 이제 그만, 고해상도 μŠ€ν† λ¦¬λ§Œ λ³΄μ‘΄ν•˜μ„Έμš”.

λͺ¨λ“  μž₯μΉ˜μ—μ„œ μ ‘κ·Ό κ°€λŠ₯

λͺ¨λ“  λΈŒλΌμš°μ €, 아이폰, μ•ˆλ“œλ‘œμ΄λ“œμ—μ„œ μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨ μŠ€ν† λ¦¬λ₯Ό λ‹€μš΄λ‘œλ“œν•˜μ„Έμš”.

μ™„μ „ 무료 μ‚¬μš©

μ „ν˜€ λΉ„μš© 없이 μŠ€ν† λ¦¬λ₯Ό λ‹€μš΄λ‘œλ“œν•  수 μžˆμŠ΅λ‹ˆλ‹€.

자주 λ¬»λŠ” 질문

μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨ μŠ€ν† λ¦¬ λ‹€μš΄λ‘œλ“œ κΈ°λŠ₯은 μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨ μŠ€ν† λ¦¬λ₯Ό μ•ˆμ „ν•˜κ³  κ³ ν’ˆμ§ˆλ‘œ λ‹€μš΄λ‘œλ“œν•  수 μžˆλŠ” 방법을 μ œκ³΅ν•©λ‹ˆλ‹€. μ‚¬μš©μž μΉœν™”μ μ΄λ©°, κ°€μž… 없이 μ‚¬μš© κ°€λŠ₯ν•©λ‹ˆλ‹€. 링크λ₯Ό λ³΅μ‚¬ν•˜μ—¬ λΆ™μ—¬λ„£κ³  μ½˜ν…μΈ λ₯Ό μ¦κΈ°μ„Έμš”.
μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨ μŠ€ν† λ¦¬ λ‹€μš΄λ‘œλ“œλŠ” κ°„λ‹¨ν•œ κ³Όμ •μœΌλ‘œ, μ„Έ κ°€μ§€ 단계가 ν•„μš”ν•©λ‹ˆλ‹€:
  • 1. μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨ μŠ€ν† λ¦¬ λ‹€μš΄λ‘œλ“œ 도ꡬ에 μ ‘μ†ν•˜μ„Έμš”.
  • 2. μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨ ν”„λ‘œν•„μ˜ μ‚¬μš©μžλͺ…을 제곡된 ν•„λ“œμ— μž…λ ₯ν•˜κ³  λ‹€μš΄λ‘œλ“œ λ²„νŠΌμ„ ν΄λ¦­ν•˜μ„Έμš”.
  • 3. ν˜„μž¬ 24μ‹œκ°„ λ™μ•ˆ μ‚¬μš© κ°€λŠ₯ν•œ λͺ¨λ“  μŠ€ν† λ¦¬κ°€ ν‘œμ‹œλ©λ‹ˆλ‹€. μ›ν•˜λŠ” μŠ€ν† λ¦¬λ₯Ό μ„ νƒν•˜κ³  λ‹€μš΄λ‘œλ“œν•˜μ„Έμš”.
μ„ νƒν•œ μŠ€ν† λ¦¬λŠ” λΉ λ₯΄κ²Œ 기기의 둜컬 μ €μž₯μ†Œμ— μ €μž₯λ©λ‹ˆλ‹€.
λΆˆν–‰νžˆλ„ 개인 κ³„μ •μ˜ μŠ€ν† λ¦¬λŠ” κ°œμΈμ •λ³΄ 보호 μ •μ±…μœΌλ‘œ 인해 λ‹€μš΄λ‘œλ“œν•  수 μ—†μŠ΅λ‹ˆλ‹€.
μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨ μŠ€ν† λ¦¬ λ‹€μš΄λ‘œλ“œ μ„œλΉ„μŠ€μ—λŠ” μ‚¬μš© 횟수 μ œν•œμ΄ μ—†μŠ΅λ‹ˆλ‹€. λ¬΄μ œν•œμœΌλ‘œ 무료둜 μ‚¬μš© κ°€λŠ₯ν•©λ‹ˆλ‹€.
λ„€, λ‹€λ₯Έ μ‚¬μš©μžμ˜ μΈμŠ€νƒ€κ·Έλž¨ μŠ€ν† λ¦¬λ₯Ό λ‹€μš΄λ‘œλ“œν•˜κ³  μ €μž₯ν•˜λŠ” 것은 상업적 μš©λ„κ°€ μ•„λ‹Œ ν•œ ν•©λ²•μž…λ‹ˆλ‹€. 상업적 μš©λ„λ‘œ μ‚¬μš©ν•˜λ €λ©΄ μ›λž˜ μ½˜ν…μΈ  μ†Œμœ μžλ‘œλΆ€ν„° ν—ˆλ½μ„ λ°›κ³ , 맀번 μŠ€ν† λ¦¬λ₯Ό μ‚¬μš©ν•  λ•Œλ§ˆλ‹€ 좜처λ₯Ό λ°ν˜€μ•Ό ν•©λ‹ˆλ‹€.
λ‹€μš΄λ‘œλ“œν•œ μŠ€ν† λ¦¬λŠ” 일반적으둜 μ»΄ν“¨ν„°μ˜ λ‹€μš΄λ‘œλ“œ 폴더에 μ €μž₯λ©λ‹ˆλ‹€. μœˆλ„μš°, λ§₯, iOS λͺ¨λ‘ λ™μΌν•©λ‹ˆλ‹€. λͺ¨λ°”일 μž₯μΉ˜μ—μ„œλŠ” μŠ€ν† λ¦¬κ°€ ν•Έλ“œν° μ €μž₯μ†Œμ— μ €μž₯되며, λ‹€μš΄λ‘œλ“œ ν›„ λ°”λ‘œ 가러리 앱에 λ‚˜νƒ€λ‚©λ‹ˆλ‹€.