Instagram Logo

cloudstv

Clouds TV 🇹🇿

Clouds TV Official Instagram Account.
Follow us;
Twitter @cloudsmedialive
Facebook @cloudsfmradio
Tunakufungulia Dunia Kuwa Unachotaka

90.9K
posts
88
followers
6.1M
following

Clouds Media Group inamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kufanikisha hafla ya kwanza ya utoaji wa Tuzo za Malkia wa Nguvu 2026 jijini Dodoma.

Tunatoa shukrani za dhati kwa Serikali ya Tanzania kupitia Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, washirika wa kibiashara, washindi pamoja na wananchi wote kwa ushirikiano wao mkubwa.

Kupitia jukwaa la Malkia wa Nguvu, Clouds Media Group itaendelea kuunga mkono juhudi za kuwawezesha wanawake nchini katika nyanja mbalimbali, kupanua wigo wa fikra na kuchochea mchango wao katika kukuza uchumi wa Taifa.

Dhamira yetu ni kuendelea kuthamini na kutambua wanawake wenye jitihada za kipekee katika biashara, ajira na jamii, wanaochangia mabadiliko chanya na maendeleo endelevu katika Taifa letu.

Jukwaa hili litaendelea kufika katika kanda zote nchini ili kuhakikisha wanawake wapambanaji wanatambuliwa, wanathaminiwa na kujengewa uwezo wa kuinuka zaidi kiuchumi na kijamii.

Kupitia fursa hii, wanawake watapata maarifa, msukumo na nafasi ya kujijenga katika fikra chanya kwa lengo la kufikia mafanikio makubwa zaidi.

MALKIA WA NGUVU 2026:
KOLEZA LEVELS.

276
31
3 weeks ago

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Clouds Media Group madam Sheba Kusaga leo rasmi amebariki uzinduzi wa jukwaa kubwa ndani ya Clouds Media Malkia wa Nguvu ambalo huanza mwezi March kila mwaka.

“Katika msimu huu tunapoelekea kwenye uzinduzi wa Malkia wa Nguvu, Ofa zitakuwa nyingi na naamini kila tutakapoenda katika msimu huu Clouds itaendelea kuwa na mchango wa kuwezesha wanawake kutambulika, kutumia platform zetu katika kupeleka bidhaa zao duniani na ninaamini mwaka huu tutakuwa na mambo mengi sana”

Malkia wa nguvu mwaka huu tunasheherekea miaka 10 ya kuleta mabadiliko na kumuinua mwanamke katika nyanja mbalimbali aweze ku-nyoosha.

1.8K
59
2 months ago

Mbunge wa Jimbo la Kawe, Timoth Geofrey Anyosisye, amesema amefurahishwa na waziri wa ujenzi Abdallah Ulega alivyoanisha maombi ya kujengewa flyover Mwenge na Morocco pamoja na maombi ya kuongezewa upana wa barabara ya Mwai Kibaki nayo yamekubaliwa.

Timoth, amesema changamoto ya Jiji la Dar es Salaam ni miundombinu ya barabara pamoja na foleni za barabarani hivyo amekuwa akiomba kujengewa barabara, madaraja pamoja na flyover hivyo kwa usikivu wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan baadhi ya maombi cake yameaanza kulipa.

Ameongeza kuwa wana Kawe waliomba kujengewa flyover kwenye makutano ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi pamoja na barabara ya Kinondoni lakini pia waliomba kujengewa flyover kwenye makutano ya barabara eneo la Morocco na pia waliomba kujengewa flyover kwenye makutano ya barabara ya Rainbow “Leo nimefurahi kumsikia waziri kuwa maombi yetu ya kujengewa flyover eneo la Morocco yamekubaliwa.” Ameyasema hayo Mbunge wa Jimbo la Kawe, Timoth Geofrey Anyosisye, akiwa anachangia hotuba ya bajeti ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2026/2027 Bungeni Jijini Dodoma.

Endelea kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii @cloudsfmtz @cloudstv pamoja na akaunti yetu ya Youtube “Clouds Media”.

#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates

40
9
1 hours ago

Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, amesema wananchi wa mkoa wa Lindi, Mtwara pamoja na mikoa ya Kusini ambao wanaotumia barabara ya Dar es salaam, Kibiti, Lindi na Mtwara wamemtuma kuja kufuatlia na kuangalia bajeti ya wizara ya ujenzi “Wameniagiza nispoona fedha zilizotengwa kwa ajili ya ujenzi wa barabara hii nisiunge mono bajeti hii niipinge.”

Ameongeza kuwa barabara hiyo inayounganisha mikoa ni mbovu kuliko barabara yoyote katika nchi na muda wake wa kutumika ulishaisha na imezibwa zibwa mpaka haiwezekani kuzibwa tena, lakini ndiko kwenye mchango wa uchumi wa pato la taifa kupitia zao la korosho “Mimi nikiunga mkono bajeti hii nitakuwa nawasaliti wananchi wa kusini, nitakuwa nasaliti ilani ya uchaguzi wa chama changu kwa hiyo natanga wazi kabisa siungi mono bajeti hii mpaka fedha itengwe kwenye hii barabara.” Ameyesema hayo leo Mei 20.2026 Bungeni Jijini Dodoma alipokuwa anachangia bajeti ya wizara ya ya ujenzi kwa mwaka wa fedha 2026/27.

Endelea kutufuatilia kupitia mitandao yetu ya kijamii @cloudsfmtz @cloudstv pamoja na akaunti yetu ya Youtube “Clouds Media”.

#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates

30
3
1 hours ago

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, amepokea Nakala za Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Kuwait nchini Tanzania, Salem Yousif Alhamdan, katika kikao kifupi kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam.

Katika kikao hicho, viongozi hao walijadili masuala mbalimbali ya ushirikiano wa kidiplomasia na kuahidi kuendelea kuimarisha uhusiano wa kihistoria kati ya Tanzania na Kuwait kwa manufaa ya pande zote mbili, hususan katika sekta za uchumi, zikiwemo biashara, uwekezaji, miundombinu, afya, kilimo na maji.

Mhe. Kombo amempongeza Mheshimiwa Alhamdan kwa uteuzi wake na amemuhakikishia ushirikiano wakati wote atakapokuwa anahudumu hapa nchini.

Naye Mhe. Alhamdan, ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa ushirikiano uliopo na kuahidi kuendeleza ushirikiano huo kupitia maeneo ya kipaumbele kwa manufaa ya wananchi wa pande zote.

#CloudsDigitalUpdates

19
2

"Hauwezi ukawa bingwa wa matusi na ukabaki salama"- Patrobas Katambi (@patrobasskatambi_) , Waziri wa Mambo ya Ndani.

#SentroYaCloudstv

265
76
1 hours ago

Ayoub Mohammed Mahmoud (@ayoubmahmoud_), Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amewasisitizia vijana kulinda amani na utulivu wa nchi.

#SentroYaCloudstv

28
10
2 hours ago

Kesho asubuhi tunazindua rasmi Mgahawa wa Power Breakfast × Clouds 360,

Umealikwa..??

22
1

29
3
2 hours ago

David George, kutoka Mwanza akitoa ushauri kwa vijana kuhusu kulinda amani

#SentroYaCloudstv

23
3
2 hours ago

Ajira zaidi ya 1,500 za moja kwa moja pamoja na takribani ajira 17,000 zisizo za moja kwa moja zimeendelea kuzalishwa kupitia uwekezaji wa kiwanda cha SBC Tanzania, huku kampuni hiyo ikichangia takribani Shilingi bilioni 150 kupitia kodi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja.

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), amesema Serikali itaendelea kujizatiti kuhakikisha uwepo wa mazingira wezeshi kwa wawekezaji kupitia maboresho ya sera, maendeleo ya miundombinu pamoja na ushirikiano endelevu na sekta binafsi kwa lengo la kuongeza uwekezaji, ajira na ukuaji wa uchumi.

Akizungumza Mei 20, 2026 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa upanuzi wa kiwanda cha kutengeneza vinywaji baridi cha SBC Tanzania, Waziri Kapinga amesema uwekezaji huo unaendana na dira ya Serikali ya kujenga uchumi wenye ushindani, unaozalisha ajira, kuongeza thamani ya bidhaa na kuchochea ukuaji endelevu wa uchumi.

#CloudsDigitalUpdates

3
3
2 hours ago

Story Save - La mejor herramienta gratuita para guardar Historias, Reels, Fotos, Videos, Highlights e IGTV en tu teléfono.

Story-save.com es una herramienta en línea intuitiva que permite a los usuarios descargar y guardar una variedad de contenido, incluidas historias, fotos, videos y materiales de IGTV directamente desde Instagram. Con Story-Save, no solo puedes descargar contenido diverso de Instagram fácilmente, sino también verlo cuando quieras, incluso sin acceso a internet. Esta herramienta es perfecta para esos momentos en los que encuentras algo interesante en Instagram y quieres guardarlo para verlo después. ¡Usa Story-Save para asegurarte de no perder la oportunidad de llevar contigo tus momentos favoritos de Instagram!

Nuestras ventajas:

No necesitas registrarte

Evita descargas de aplicaciones y registros, guarda historias directamente en la web.

Alta calidad exclusiva

Deshazte del contenido de baja calidad, conserva solo historias en alta resolución.

Accesible en todos los dispositivos

Descarga Historias de Instagram desde cualquier navegador, iPhone o Android.

Completamente gratuito

Sin cargos. Descarga cualquier historia sin costo alguno.

Preguntas Frecuentes

La función de descarga de Historias de Instagram está diseñada para ofrecer un método seguro y de alta calidad para descargar historias de Instagram. Es fácil de usar y no requiere registro. Simplemente copia el enlace, pégalo y disfruta del contenido.
Descargar historias de Instagram es un proceso sencillo que incluye tres pasos:
  • 1. Ve a la herramienta de descarga de Historias de Instagram.
  • 2. Escribe el nombre de usuario del perfil de Instagram en el campo proporcionado y haz clic en el botón Descargar.
  • 3. Verás todas las historias disponibles del periodo actual de 24 horas. Selecciona las que quieras y presiona Descargar.
La historia seleccionada se guardará rápidamente en el almacenamiento local de tu dispositivo.
Lamentablemente, no es posible descargar historias de cuentas privadas debido a restricciones de privacidad.
No hay límite en la cantidad de veces que puedes usar el servicio de descarga de historias de Instagram. Está disponible para uso ilimitado y es completamente gratuito.
Sí, es legal descargar y guardar historias de Instagram de otros usuarios, siempre y cuando no se usen con fines comerciales. Si planeas usarlas comercialmente, debes obtener permiso del propietario del contenido original y acreditarlo cada vez que uses la historia.
Todas las historias descargadas generalmente se guardan en la carpeta de Descargas de tu computadora, ya sea que uses Windows, Mac o iOS. Para dispositivos móviles, las historias se guardan en el almacenamiento del teléfono y deberían aparecer también en tu aplicación de Galería inmediatamente después de la descarga.